“Ee Mungu, ninajua kuwa ni mwenye dhambi. Ninaamini kuwa Yesu alikuwa fidia yangu alipokufa msalabani. Ninaamini damu yake aliyomwaga, kufa kwake, kuzikwa kwake, na kufufuka kwake kulikuwa kwa ajili yangu. Sasa ninampokea awe Mwokozi wangu. Asante kwa msamaha wa dhambi zangu, zawadi ya wokovu na uzima wa milele, kwa sababu ya neema yako ya huruma. Amina.”
May 30, 2011
WELCOME TO SILVANUS MUMBA ARTS: Salome sasa promotions kuanza wiki mbili zijazo
WELCOME TO SILVANUS MUMBA ARTS: Salome sasa promotions kuanza wiki mbili zijazo: "Filamu ya Salome iliyo andaliwa na kikundi cha SAFARI ARTS GROUP sasaipo kwenye hatua za mwisho wa kuandaa promo, na baada ya hapo kutakuwa ..."
Salome sasa promotions kuanza wiki mbili zijazo
Filamu ya Salome iliyo andaliwa na kikundi cha SAFARI ARTS GROUP sasaipo kwenye hatua za mwisho wa kuandaa promo, na baada ya hapo kutakuwa na promo vikiambatana na usambazaji.
Akiongea na Blog hii ndigu Bensona Mmiliki wa studio ya Black and White ambao ndiyo maeditor wa filamu hiyo amesema kwa sasa wanaongea na SUPRIM kwaajiri ya usambazaji na uandaajiwa filamu hiyo umekamilika.
Ndugu Silvanus Mumba (Executive producer) amesema anamshukuru Mungu kwakuwa Filamu hiyo imemalizika salama na ni filamu ambayo itatoa majibu ya nini kimefanyika ndani ya filamu hiyo, akiongezea ndugu Eddy Besha (Director) amesema, wasanii walicheza kwa hisia ya hali ya juu na kiuhalisia kiasi kwamba atakaye iona filamu hiyo ataona matukio hayo ni kama ya kweli.
Tunawahakikishia wapenzi wa filamu Tanzania watapata kile ambacho hawajawahi kukipata n ile Pick ya kimata inakuja na filamu ya Salome.

ENDLISH:
The Salome film which was prepared by SAFARI ART GROUP, now IS approaching to enter into market, we were able to finish preparations and now we are preparing Promos and Posters for the adverts.
Speaking to this Blog Mr. Benson owner of Black and White, who is Chief Editor of the film, said that to this extent they have already confirmed that Film can be distributed. Speaking with SUPRIM distributers Mavitu said we are expecting many things from the Film.
Mr. Silvanus Mumba (Executive producer) has said surprisingly comes to Earth because in this film there are alot of things which are not familier to Tanzania Movies.
FILAMU YA ZOMBI<>Mtu na Mdogowake kucheza Mke na Mume
Ni muigizaji Mahili na Chipukizi anayekuja kwa Kasi ya ajabu, Silvanus C. Mumba na Mdogo wake Nyemoritha Mabalwe, Wote ni watoto wa Mama mmoja, Wakicheza kama Mke na Mume kwa umahili mkubwa sana na Kuonesha jinsi Gani watu wanatakiwa kucheza filamu Seriouslly
Wakiongea kwa nyakati tofauti wao wenyewe wamesema walifurahi kupangwa pamoja ingawa Nyemo alitaka kukataa kwa kuwa anamuheshimu sana Kaka yake. Kilicho tokea ni Amri kutoka kwa Director wa Casts (Casting Director,, DJ Awax) na Kukubali kufanya hivyo.
Filamu hiyo iliyo Directiwa na Kutungwa na Silvanus Mumba, itakuja kuwakamata watanzania wote kwasababu imechezwa kwa umahili wa hali ya juu sana na waigizaji hao na utunzi wake si ule ulio zoeleka.
Wengi wameisifia akiwepo Mhadhili wa Chuo kikuu cha usafirishaji Ndugu Hoseah Mabalwe, Ponsian Claud (Project Coordinator /KOICA) na Wengine wengi.
Hii ni time ya Watanzania kusubiri kupata Heshima ya kimataifa kupitia filamu hiyo ambayo itasambazwa mapema mwezi wa saba.

May 29, 2011
May 11, 2011
Makamuzi ya Filamu ya kizombi haya hapa.
Tulipata ajali ya Gari so ikatubidi tutembee kwa miguu kuelekea home na kuliacha Gari likishughulikiwa na Fundi pamoja na Driver.
Buba Jini akiwa kwenye Motion (anaitwa Rossana kwenye filamu hii kali)
Kibaka akiwa kwenye Motion ametokewa na Zombie Baada ya kukwapua mzigo wa watu.
Mr. Magali aka mzee Zafarani kama alivyotambulika kwenye hii filamu akiwa kwenye Motion.
Tukilwa Location
Msanii Ritha akionesha kidonda Baada ya Motion yake kutokea alianguka chini kiualisia akaumia.
Mazombie wakiwa kwenye Motion

May 2, 2011
SALOME Bado kidogo kuingia sokoni
sWELCOME TO SILVANUS MUMBA ARTS: SALOME Bado kidogo kuingia sokoni: "Nimewasiliana na Black and White Studio jana jioni kuhusiana na Filamu yangu ya SALOME ambayo mwanzo nilitaka kuiita Handsome lakini ilinibi..."
SALOME Bado kidogo kuingia sokoni
Nimewasiliana na Black and White Studio jana jioni kuhusiana na Filamu yangu ya SALOME ambayo mwanzo nilitaka kuiita Handsome lakini ilinibidi nibadilishe jina baada ya Watu wasio wabunifu kilichukua jina hilo na kulitumia kwenye filamu zao.
Kwa sasa editing ya filamu hiyo imekwisha kamlika na kilicho baki ni kufanya hatua za mwisho za kuisambaza kazi hiyo ili washabiki wa Filamu Tanzania mupate test tofauti ya Filamu, mafunzo na Intertainment ambavyo vyote vime contain kwenye filamu hiyo.

Subscribe to:
Posts (Atom)