“Ee Mungu, ninajua kuwa ni mwenye dhambi. Ninaamini kuwa Yesu alikuwa fidia yangu alipokufa msalabani. Ninaamini damu yake aliyomwaga, kufa kwake, kuzikwa kwake, na kufufuka kwake kulikuwa kwa ajili yangu. Sasa ninampokea awe Mwokozi wangu. Asante kwa msamaha wa dhambi zangu, zawadi ya wokovu na uzima wa milele, kwa sababu ya neema yako ya huruma. Amina.”
Sep 22, 2011
Sep 21, 2011
INTRODUCTION OF CHRISSGOLD INTERTAINMENT
KAENI MKAO WA KULA KWA UJIO WA CAMPUNI YANGU ITAKAYO ITWA CHRISSGOLD ENTERTAINMENT
Kampuni hiyo itamilikiwa na Mimi Kama Silvanus Mumba na Mchumba wangu Aitwaye Hyasinta Kululetera, soon mwanzoni mwa mwaka 2012 itaanza makeke yake Tanzania itajihusisha na uandaaji wa kazi za Filamu na Kusambaza.

Subscribe to:
Posts (Atom)