Jul 14, 2011

Kujiuzuru kwa Rostam Azizi

Katika vitu ambavyo tokea niote kicha changu miaka mingi iliyopita, sijawahi kuona uamuzi wa Busara kama alio utoa Muheshimiwa Rostam Azizi,,
Uamuzi huu ni wa kiuadilifu, kiujasiri, kimaendeleo, kujiamini, kiheshima, na hata kiunganifu na watanzania wanaopenda amani na Maendeleo Tanzania.

Sasa najiuliza hivi na hawa wengine ambao wamepata Kashfa za Richmond, BOT, na zingine nyingi, kwanini wasimfuate mwenzao? wakaachia ngazi kwaajili ya kujijengea heshima na kutuliza minong'ono ya hapa na pale Nchini kwetu Tanzania?