Nimesikitika na kushangazwa sana kuona kama mambo haya yanaweza kutokea katika nchi yetu ya Tanzania, nchi ambayo Tunaiita nchi ya Amani. "Nazungumzia utekwaji nyara wa wananchi kupiga mpaka kufa na wengine kusalimika mfano Dr. Ulimboka." Bila kujali itikadi zozote namaanisha Dini, Vyama, uanaharakati, na wengine tunatakiwa tukumbuke kuwa Sisi sote ni Watanzania na nchi yetu ni nchi ya amani.
http://youtu.be/KiYt5DsfQuc
Lakini kwa kitemdo ambacho kilimtokea DR. STEPHEN ULIMBOKA, cha kutekwa na kupigwa nusu kuuawa NI KITEMDO CHA KINYAMA NA KITECHO AMBACHO SI CHAKUKIFUMBIA MACHO KABISA, MASIKIO YETU NA MACHO YETU NI KUONA WAHUSIKA WAMEKAMATWA NA KUCHUKULIWA HATUA NA SI VINGINEVYO.

Selikali inwajibu wa kuwajibika katika kuwatafuta na kuwawajibisha ikiwezekana hata kuwanyongwa wauwaji hawa. inakera sana kuona kumbe maisha yetu yako rehani namna hii. nisingependa tena kuona selikali inakaa kimya bila kuwatafuta wauwaji hao. kwasababu hili ni tukio la tatu kulisikia na mawili sijapata majibu yake. ikiwemo lile la Igunga, Arumeru, na sasa hili sasa.
Peruzi na mimi inapenda kutoa pole kwa DR. STEPHEN ULIMBOKA, Familia yake, Jumuhia ya Madactari yote na watanzania walio athilika kwa namna moja ama nyingine.
tunamuombea kwa mungu Hali yake itengamae aweze kurudi kazini kwatika mapambano ya kupigania hakizao Madaktari..