Oct 21, 2012

USAHILI WA KUTAFUTA WASANII WA FILAMU

USAHILI WA KUTAFUTA WASANII
AF Production Magomeni Dar es Salaam
USAHILI WA KUTAFUTA WASANII
kampuni wa AF production inatafuta wasanii watakao tumika katika filamu zitakazo andaliwa na Kampuni hiyo.
Usahili utafanyika siku ya Tarehe 28th october 2012 jumapili ijayo.
Mwenye kipaji anakaribishwa Magomeni Fundikira Mtaawa Gereji kwa Mama Sharobaro, Muda ni kuanzia saa 4 asubuhi na kuendelea
Kwa maelezo zaidi Piga simu namba: 0717307090, 0764295454, 0684295454.
Hakuna Ada ya usahili....
Tunasisitiza Usahili buuuuureeeeeeeeeeeee

Baadhi ya filamu ambazo zitaingia Sokoni hivi soon



Silvanus

No comments: