Kuna kampuni inasambaza Filamu ya Asali chachu kinyume cha Shiria.. Kwa mujibu wa wanahabari wetu walioko huko mitaani wanasema waliiba kazi hii kwa kushirikiana na Msanii mmoja ambaye alishiriki kuicheza Filamu hiyo.
Angalisho kwa wale wanaojihusisha na kuisambaza kwakuuza ni kuacha maramoja isije Jumba Bovu kuwaangukia wao. naomba ndugu wapenzi wa Tasnia hii ya Filamu Tanzania tushirikiane ili tuweze kuwakamata WEZE HAWA na MATAPELI WAKUBWA WA KAZI ZA WASANII ILI WAO IWE MFANO KWA WENGINE.

Hizi ni Baadhi ya Schene ambazo zipo kwenye filamu hiyo kali ya Asali Chachu naomba Wadau na wakereketwa wa filamu Tanzania tushirikiane kuwakamata wasambazaji hao.

No comments:
Post a Comment