Nitangulize Samahani kwa Wadau wa Filamu Tanzania na Wapenzi wa Safari Arts Group kwasababu ya Kuchelewa kwa Kazi hiyo ya Sanaa iliyochewa ka umahili sana na Wanasanaa waliofunza vilivyo kimataifa..
Filamu hiyo imeenda Congo kwaajiri ya Sound Truck na Baada ya hayo mutaiona Sokoni mapema mwezi wa Tano..
Mimi kama Executive Produser wa Safari na Filam zote za Safari, nasema Wadau musiwe na Pressure kwani Kazi ni nzuri na ina Maadili ya kitanzania..
Sasa itatambuulika kwa jina la SALOME

No comments:
Post a Comment