swahilivilla: MBUNGE SILIMA AFARIKI KUFUATIA AJALI YA GARI ILIYO...: Mbunge MhMussa Khamis Silima
Mbunge Mussa Khamisi Silima, alifariki dunia leo saa tano asubuhi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbil...
“Ee Mungu, ninajua kuwa ni mwenye dhambi. Ninaamini kuwa Yesu alikuwa fidia yangu alipokufa msalabani. Ninaamini damu yake aliyomwaga, kufa kwake, kuzikwa kwake, na kufufuka kwake kulikuwa kwa ajili yangu. Sasa ninampokea awe Mwokozi wangu. Asante kwa msamaha wa dhambi zangu, zawadi ya wokovu na uzima wa milele, kwa sababu ya neema yako ya huruma. Amina.”
Aug 24, 2011
Aug 23, 2011
That is Joseph Pius Mapunda (Nusu Mzungu) tulikuwa tuna muaga anakwenda Kazini Mkoani Ruvuma Wilayani Mbinga..
Huyu anaitwa Kaka Morice Mwakipesile, ni College mate wa Mr. David Ngutunyi waliamua kuungana na sisi katika Chakula cha Mchana
Huyu ni Mr. Ngutunyi David, ambaye ni Rafiki yangu na pia ni Ndugu yangu, tulisoma wote pale chuo cha ustawi wa Jamii ilikuwa ni kwenye Chakula cha Mchana katika kumtakia Kazi njema na maisha mema huko wilayani Mbinga mkoani Ruvuma Mr. Jeseph Mapunda
Hii ilikuwa ni Picha ya Pamoja Baada ya kumaliza Chakula cha Mchana
Kazi njema Mr. Joseph Mapunda
Aug 21, 2011
SEIF KABELELE: WHO TO BE CROWNED AS MISS UNIVERSE TANZANIA 2011??...
SEIF KABELELE: WHO TO BE CROWNED AS MISS UNIVERSE TANZANIA 2011??...: Hellen Dausen-Miss Univesre Tanzania 2010. Miss Univesre Tanzania was first held in 2007 whereby Tanzania was represented by dynamic,tall ...

Aug 19, 2011
Aug 18, 2011
Aug 12, 2011
Aug 5, 2011
The Living Dead imekamilika
Filamu ya The living Dead imesha kamilika na sasa tunaongea na Wasambazaji kwaajiri ya Kufanya usambazaji huo,,
Filamu hiyo iliyochezwa na Wasanii mahili Tanzania akiwemo Mr. Magali, na Silvanus Mumba ambaye amepata training za kuact pic za Kimataifa wameonesha uwezo wa hali ya juu sana.

Aug 2, 2011
CHRISSGOLD AND SAFARI: Msanii ni nani?
CHRISSGOLD AND SAFARI: Msanii ni nani?: "Msani ni kiyoo cha jamii, Msanii ni mtu anaye jiheshimu na kujitunza Msanii anajua utu wake anatunza heshima ya wenzake na kutunza heshima..."
Msanii ni nani?
Msani ni kiyoo cha jamii,
Msanii ni mtu anaye jiheshimu na kujitunza
Msanii anajua utu wake anatunza heshima ya wenzake na kutunza heshima ya utamaduniwake
Msanii ni Mshauri wa jamii,
Msanii ni Mbunifu, mgunduzi na Mtafiti wa mambo yenye tija katika jamii
Msanii ni mtu asiye penda kashfa, na ni mpenda maendeleo,
Msanii ni mfano wa jamii, kwa Tabia njema na kupenda kukosoa vitu ambavyo havina tija kwa jamii
Msanii ni kiongozi wa jamii
Msanii ni nguzo ya jamii katika uelimishaji, na uanzishaji wa mambo mbalimbali ya kimaendeleo.
Msanii ni Mburudishaji jamii
Msanii ni mfanya kazi za kijamii, nani mfano wa kuigwa katika jamii husika
Huyu si msanii
Mwenye Kashfa nyingi
Mwenye kupenda kufanya vitu vya kushangaza jamii
Mkaa uchi
Mpenda umbea
Asiye na aiba ya ushauri wala ubunifu wenye tija
Asiye na Mapenzi mema na Wahusika wa utamaduni wake
Makosa ya Wasanii wetu
Kwanza hupenda sana sifa zisizo na tija kwao na kwenye jamii
Hawapendi kujielemisha na kusoma zaidi
Hawana kisomo, na wanakashfa nyingi sana za mapenzi na utembeaji wa uchi,
Kuonyesha vitendo vya ndani nje ya jamii inayo wazunguka
Hawana akili ya kuiwakilisha jamii katika sehemu yeyote ile
Si mfano wa kuigwa katika jamii, kwasababu ukiwaiga utapotea
Tufanye nini?
Tuunde chombo ambacho kitawawajibisha wasanii hao,
Tuunde chombo ambacho kita wasuport katika Kazi zao
Tuunde chombo ambacho kitakuwa kinasimamia Nidhamu na kazi zao
Kuunda chombo ambacho kitakuwa na uwezo wa kuwakumbusha Elimu ni ufunguo wa maisha
Kuunda chombo kitakacho wafuatilia wasanii hao na kuwapongea wanapofanya vizuri
Chombo hicho kiwe na nguvu ya kuwafungia wasanii wenye Nidhamu mbovu

Subscribe to:
Posts (Atom)