Aug 23, 2011

  
That is Joseph Pius Mapunda (Nusu Mzungu) tulikuwa tuna muaga anakwenda Kazini Mkoani Ruvuma Wilayani  Mbinga..

Huyu anaitwa Kaka Morice Mwakipesile, ni College mate wa Mr. David Ngutunyi waliamua kuungana na sisi katika Chakula cha Mchana 

Huyu ni Mr. Ngutunyi David, ambaye ni Rafiki yangu na pia ni Ndugu yangu, tulisoma wote pale chuo cha ustawi wa Jamii ilikuwa ni kwenye Chakula cha Mchana katika kumtakia Kazi njema na maisha mema huko wilayani Mbinga mkoani Ruvuma Mr. Jeseph Mapunda 




Hii ilikuwa ni Picha ya Pamoja Baada ya kumaliza Chakula cha Mchana  









Kazi njema Mr. Joseph Mapunda