Dec 5, 2011

Kazi na Internships from Mercycorps Nicaragua

Nafasi za kazi & Internships Mercycorps Nicaragua

Kwa niaba ya NGO inayoshughulikia masuala ya watoto Duniani “Mercycorps”Nicaragua(Central America) inatoa nafasi za kazi pamoja na internships kwa vijana wote bila kujali utaifa na dini,Masharti ya muombaji ni pamoja na
.Uwe na umri unaozidi miaka 18 na usiozidi miaka 45.
.Uwe na Elimu ya Kuanzia Secondary na kuendelea.
.Uwe na rekodi nzuri katika makosa ya jinai.
.Uwe tayari na Passport ya Kusafiria .
.Mwaminifu na upo tayari kufanya kazi Vijijini.
*Interships ni kwa wale wenye Diplomas na kuendelea tu.
Kwa Maelezo zaidi juu ya utumaji CV tafadhali wasiliana kwa ;
Mercy Corps (Head Quarter)
P.o.box 2669 Dept W,Portland,OR 97208-2669 USA.
Email: jobs.mercycorps@gmx.us or lilian@gmx.us