Nov 23, 2011

Ajali iliyotokea Ubungo liverside

Ni ajali iliyotokana na Lori la Mafuta kuvamia Magari madogo na kuyaharibu vibaya.. Ajali hii ilisababisha vifo vya watu watatu akiwemo Mama mjamzito aliye tenganishwa kichwa na kiwiliwili. Mungu azilazepema roho za marehemu amina.













Kuna umuhimu wa kuwa makini sana tunapofanya matumizi ya Barabara, ili kuokoa maisha ya waenda kwa miguu na watumiaji wengine wa Barabara.. Hapa Tanzania kuna kasumba za Waendesha magari makubwa kudharau na kuo wajali waendesha magari madogo pindi wawapo Barabarani, na hii inatokana na kukosekana kwa utu.