Msanii Erykah Badu kufungiwa kupiga matamasha nchini Malaysia kutokana na tattoo yake ya mdaa (Temporary Tattoo)ambayo alionekana akiipachika begani mwake .Tattoo hiyo aliyoonekana akiiweka begani mwake ilikuwa ni tattoo yenye neno laki Arabu la "ALLAH".Alifungiwa kupiga matamasha nchini huko na serikali ya raisi Yatim,na ikatoa tamko hili kutokana na tattoo hio nanukuu "triggered public criticism that could jeopardize national security and cause a negative impact to the government’s image."
Silvanus
No comments:
Post a Comment