“Ee Mungu, ninajua kuwa ni mwenye dhambi. Ninaamini kuwa Yesu alikuwa fidia yangu alipokufa msalabani. Ninaamini damu yake aliyomwaga, kufa kwake, kuzikwa kwake, na kufufuka kwake kulikuwa kwa ajili yangu. Sasa ninampokea awe Mwokozi wangu. Asante kwa msamaha wa dhambi zangu, zawadi ya wokovu na uzima wa milele, kwa sababu ya neema yako ya huruma. Amina.”
Feb 7, 2012
Latifa Idabu Actress anaye kuja juu
Hapa Latifa Idabu akiwa kwenye Poz baada ya kuenjoy katika Sweeming pool
No comments:
Post a Comment