Baada ya kumzika jijana wetu Mpendwa wetu Kanumba nini kinafuata?
Mi nadhani ni Muda wa kutafakali matendo yetu, skendo zetu na hata Filamu zetu, Je hatuendi kinyume na matakwa ya Mungu, je tunafundisha nini jamii ya kitanzania na Dunia nzima kupitia Vipaji vyetu..
Tunatakiwa kujua Kifo kipo karibu tujiandae..
Silvanus
No comments:
Post a Comment