Apr 11, 2012

Safari ya mwisho ya Steven Kanumba 2012

TUJIANDAE KWAMAANA SIKU ZA MWISHO ZIMEKALIBIA, TUJIWEKE TAYARI KWASABABU KILA MTU ANANJIA YAKE YA KUONDOKA DUNIANI, TUWAPENDE WENZETU NA KUWASAIDIA PALE PENYE MATATIZO, TUJISFISHE NYOYO ZETU. TUMUOMBEE MWENZETU KANUMBA, NA HII NI SAFARI YAKE YA MWISHO KUTOKA MATUKIO YA PICHA.


















Sauti ya Watanzania, Sautimoja Tz, Safari Arts Group facebook page na Silverchriss.blogspot.com wanapenda kuwapa pole watu wote walioguswa na Msiba huu mzito kwa Tanzania Amen

We have to be prepared this is why Death is near to everyone and we have to pray, we loose the Tanzanian Arts Icon, we will loose other and other because death is our last stage of life.

May the lord bless him in the Name of the Father and of the Son and of the Holy Spirit Amen







Silvanus

No comments: