AY
ndio msanii pekee kutoka TANZANIA (East Africa) aliyenyakuwa tuzo ya
Channel O Music Video Award kwa mwaka huu 2012 katika kipengele cha MOST GIFTED AFRICAN EAST VIDEO OF THE YEAR. Video iliyochukuwa tuzo hiyo ni I DON'T WANT TO BE ALONE akiwa amewashirikisha wasanii kutoka Nairobi Kenya wanakwenda kwa jina la Sauti Sol.
Msanini AY naweza Mfananisha na Muigizaji Wa Tanzania Marehemu Steven Kanumba ambaye aliamua kutoboa anga za kimataifa na kufanya filamu na Wanaigeria ikiwa ni njia yake ya kutafuta kipato lakini akiitangaza nchi yetu ya Tanzania, Kanumba kwasababu yeye anathubutu kutonoa Border na kwenda nje ya Tanzania na hata nje ya Africa kufanya muziki tofauti na wasanii wenye majina hapa Bongo kwetu.
Tunapaswa kuiga mfano mzuri wa Ndugu yetu msanii AY, ili tuweze ipeperusha Bendela ya Tanzania kwa nchi mataifa mengine. hii itatusaidia hata katika utalii wtu wa Ndani na wa nje kwani tutawavutia wengi kuja kutalii na kuiongezea Nchi fedha za kigeni.
Peruzzi na Mimi.

No comments:
Post a Comment