Mar 31, 2011

Handsome sasa Kuitwa Salome..

Kutokana na Maoni ya Wadau mbalimbali ambao tunashirikiana nao katika kuandaa Filamu zetu ili ziwe Bora zaidi, wameshauri Jina la Handsome lisitumike katika filamu hiyo Bali badala yake litumike jina la SALOME...

Kwamujibu wa Executive Produser Ndugu Silvanus C. Mumba (Coordimator, KOICA) amesema Management yake imelidhia jina hilo na sasa Filamu hiyo inayotarajia kuingia Sokoni mapema Mwezi wa NNE imesheheni Vitimbi mbalimbali vya kiuswahilini, Mafindisho ya kijamii, Kisiasa, kiuchumi na hata kitechnolojia.

Katibu wa Kundi la SAFARI Arts Group ndugu Raymond Mtapulo (Mavitu) Amesema kwasasa wao wanakazi moja tu ya kutoa Mawe ya nguvu (akimaanisha Filamu zenye ubora wa juu kuliko hata filamu zilizowahi kutoka Tanzania)

Mama Mlezi naye aliongezea akisema Wasanii wake wananidhamu ya kimchezo kutokana na hilo hana wasiwasi na Wasanii hao ambao kwa pamoja wamecheza kwa kiwango cha kimataifa na Hata Editing imeeditiwa na EDITOR kutoka Nchini CONGO ambaye alikuwa anafanya kazizake nchini UFARANSA.

Watu wakae mkao wa kula ili wapate kile moyo unapenda na Wizara naSelikali ijiandae kupata faida na Utambulisho mpya Kimataifa kwa filamu hiyo..

Mar 28, 2011

FILAMU YA ASALI CHACHU Imeibiwa





Kuna kampuni inasambaza Filamu ya Asali chachu kinyume cha Shiria.. Kwa mujibu wa wanahabari wetu walioko huko mitaani wanasema waliiba kazi hii kwa kushirikiana na Msanii mmoja ambaye alishiriki kuicheza Filamu hiyo.

Angalisho kwa wale wanaojihusisha na kuisambaza kwakuuza ni kuacha maramoja isije Jumba Bovu kuwaangukia wao. naomba ndugu wapenzi wa Tasnia hii ya Filamu Tanzania tushirikiane ili tuweze kuwakamata WEZE HAWA na MATAPELI WAKUBWA WA KAZI ZA WASANII ILI WAO IWE MFANO KWA WENGINE.


Filamu hiyo ni mali ya SAFARI ARTS GROUP, chini ya SILVANUS MUMBA, lakini Mimi kama Mmiliki sina taarifa kuhusu utaratibu huo wa usambazaji wa filamu hiyo.

Hizi ni Baadhi ya Schene ambazo zipo kwenye filamu hiyo kali ya Asali Chachu naomba Wadau na wakereketwa wa filamu Tanzania tushirikiane kuwakamata wasambazaji hao.

Anaitwa Latifa Idabu Star wa Sanda Nyeusi akiwajibika katika Filamu kali na yenye mafundisho ya Asali chachu,

Akiwa amechanganyikiwa kwa Taarifa mbaya kutoka kwa Daktari.

Mar 8, 2011

This is omming soon( Zombie movie)


These are some parts in this Movie so dont miss it when it comes in Market my friends.
I would like to tell the Tanzania that this movie is coming soon, if some one want to suport me to make this movie succeed ill be happy and i promice that ill return the money as soon as i market this Movie, Prepared by silvanus Mumba