Oct 6, 2011

The Living Dead Ipo kwenye hatua za mazungumzo na wasambazaji

Filamu ya THE LIVING DEAD ya kizombi ipo kwenye hatua mzuri za mazungumzo na wasambazaji amazo itaweza kusambazwa mapema mwezi ujao

Tafadhali wadau kaeni mkao wa kula