Jan 28, 2013

MWANAMAPINDUZI

MWANAMAPINDUZI

Movement yeyote ya Kufanya mapinduzi, hasa mapinduzi makubwa kwa selikali iwe ya kijeshi au ya kimaendeleo, ni lazima mtu Mmoja aumie ili wafaidike wengi.

Wanafalsafa wengi sana kutoka ulimwenguni, huubariki msemo huu na hata vitabu vya Mungu vinautakasa kwani (kwa wakristo Yesu alikufa Msalabani kwaajili ya Dhambi za wengi duniani) na kwa waislamu pia Mitume wengi walipoteza Maisha yao kwaajili ya Haki za wanaimani wenzie na ndiyomaana leo hii tunakula Matunda yake.

Ninacho taka kusema ni kipi, Wana Tunduru, huu si muda wa kulaumiana wala kumlaumu yule, huu ni wakati wa kukaa chini na kuulizana Tulikosea wapi na tuparekebishe kwa njia Gani, Mimi binafsi nikisikia wapo watu wenye uwezo wa kufanya Mapinduzi ya Kielimu na Kimaendeleo, ambayo ndiyo kikwazo kikubwa cha wana Tunduru wengi kunyanyasika.

Movement itaanzia kwenye TUDURU DEVELOPMENT FORUM, ambayo inamjengwa wa kuwaunganisha wanatunduru wote, Wenye mapenzi mema na Tunduru yao, na Wenye uchu wa Maendeleo, na Wenyekutaka wanaTunduru leo hii wakomboke kutoka kwenye Utumwa huru, na kuwa Watu wenye kufanya Mbinu na itifaki za kimaendeleo wao Wenyewe.

Elimu yetu ipo chini sana,
Wazazi wa Wana Tunduru naomba muniunge mkono kwa kuwapeleka watoto wenu shule, Tafadhali elimu ya shule ya msingi kwa sasa haina thamani hat kidogo, na wala Elimu ya Kidato cha nne kadhalia, Staili ya sasa ni kumpeleka Mwanao Chuo akapata elimu Kombozi, kwani kutokea hapo ataweza kupata ajira.

Watoto wa kike
Msiharakie kuwa na familia (kuzaa mapema si utajiri Bali ni kujiandalia umasikini) Nasema hivyo kwani kuna wengi sana Wana harakia kuzaa wakati hawana vyanzo vya kiuchumi, hata akitokea mtu akitaka kukusaidia kielimu anakuta kuna kikwazo cha mtoto, anashindwa kuendelea.. Akikupeleka wewe shule Nani atamlea mtoto wako?

Vijana Tunduru'
Kila kukicha Ajira za kujiajiri zina zaliwa sana tu (TUTAKUJA NA TUDEFO kuhamasisha hata vikoba ili watu waweze kutengeneza hcannels za kuweka na kukopa wao wenyewe kwa wenyewe, kwani Tunduru (ukitaka kuendelea jenga ushrika) Mabiashara makubwa yote unayoyaona si ya mtu mmoja bali na watu wengi wakafanya wazo la Pamoja na kufanya mkataba wa ushirikiano (Article of association) na Memorandum of Understanding kwaajiri ya kuendeleza Kipato chao,

Natoa rai kwa Wana tunduru wote, Tushirikiane kurekebisha Mawazo hayo kisha tujenge msingi imara wa kimaendeleo (tukiopna kiongozi ana tuangusha katika jitihada zetu, 2015 tusimchague hiyo ni msaliti wetu,)

nawasilisha

Peruzzi na Mimi.

Jan 22, 2013

Tujiadhali na utapeli wa kwenye simu

MTU mmoja ambaye hajafahamika jina amekuwa na tabia ya kutapeli watu kwa kutumia simu ambapo amekuwa akijifanya ni mtu unayemfahamu na huomba msaada wa fedha.

Mtu huyo ambaye anatumia namba 0714 530 869 na 0716 494 259 amekuwa akijitambulisha kwa jina la mtu unayemfahamu sana na hutoa taarifa kuwa simu yake ina matatizo kidogo hivyo kukuomba umtumie kiasi fulani cha fedha kwa kuwa ana matatizo na yupo mkutanoni.

Aidha, tapeli huyo hataki kabisa uongee naye bila shaka kwa kujua kuwa utamtambua na badala yake hukuomba uwasiliane naye kwa njia ya sms.

Mara nyingine atakuambia kuwa ana mgonjwa na mtumie fedha kwa namba ya mjomba wake. Atakupa ahadi pia kuwa ukimtumia hizo fedha, atazirejesha. UKITUMA TU, UMEUMIA. Chukueni tahadhari. Katika ofisi za mtandao huu ametuma sms kwa wafanyakazi wengi lakini ameambulia patupu! Namba moja (inayoishia 259) ameisajili Tigo Pesa kwa jina la LWITIKO MWANJOKA lakini nyingine hajaisajili. Wizi anaoutumia ni wa kijinga sana, lakini naamini kati ya watu 20, angalau 2 huwapata! Mjulishe na mwenzio, usitume fedha kwa mtu usiyemjua, hata akitumia jina la mzazi wako!

Peruzzi na Mimi.

Utapeli wa Simu Dar es Salaam

Jan 17, 2013

New Job in Tanzania 2013

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI-Jobs in Tanzania 2013
Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki, pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma).
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anakaribisha maombi ya Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za kazi kwa waajiri mbalimbali katika Utumishi wa Umma kama ifuatavyo:

AFISA TARAFA – (NAFASI 145)
Nafasi hizi ni kwa ajili ya Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa katika mikoa kama ifuatavyo:
Arusha (nafasi 4) , Dodoma (nafasi 11), Dar es Salaam (nafasi 1), Iringa (nafasi 3), Kagera (nafasi 3), Kigoma (nafasi 7), Kilimanjaro (nafasi 12), Lindi (nafasi 11), Manyara (nafasi 7), Mara (nafasi 1), Mbeya (nafasi 8), Morogoro (nafasi 3), Mtwara (nafasi 9), Mwanza (nafasi 5), Pwani (nafasi 6), Rukwa (nafasi 12), Ruvuma (nafasi 14), Shinyanga (nafasi 8), Singida (nafasi 4) Tabora (nafasi 6) na Tanga (nafasi 10).

MAJUKUMU YA KAZI
(i) Kwenye Mamlaka ya Serikali Kuu.
  • • Kumwakilisha na kumsaidia Mkuu wa Wilaya katika utekelezaji wa shughuli za Serikali Kuu katika Tarafa.
  • • Kuandaa na kuratibu taarifa na ripoti zinazohusu masuala ya ulinzi na usalama ya kata kwenye tarafa yake na kuiwasilisha kwa Mkuu wa Wilaya.
  • • Kuhamasisha na kuhimiza wananchi iliwashiriki kwenye shughuli za maendeleo kwenye Tarafa.
  • • Kuwa kiungo kati ya Serikali kuu na Wananchi Katika Tarafa.
  • • Kuwa mlinzi wa amani katika eneo lake.
  • • Kufuatilia na kuhimiza utekelezaji wa sera za Serikali katika eneo lake na kuhakikisha kuwa zinatekelezwa ipasavyo.
  • • Kuratibu shughuli zote za maafa na dharura mbalimbali katika eneo lake
  • • Kuandaa taarifa zote zinazohusu masuala ya Serikali Kuu kuhusu utendaji wa kazi za maafisa Watendaji wa kata wa eneo lake na kuziwasilisha kwa Mkuu wa Wilaya.
  • • Kuwa kiungo kati ya Serikali kuu na Serikali za Mitaa. katika eneo lake.
  • • Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Katibu Tawala wa Wilaya.
(ii) Kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa;
  • • Kuwasaidia Wakurugenzi wa Serikali za Mitaa katika shughuli za Maendeleo katika eneo lake
  • • Kusimamia utendaji wa shughuli za Maafisa Watendaji wa Vijiji, Kata na Mitaa.
  • • Kushiriki na kutoa ushauri katika upangaji wa mipango ya Maendeleo katika eneo lake
  • • Kuhudhuria vikao vya kamati za Halmashauri na Baraza la madiwani na kutoa ushauri.
  • • Kuandaa taarifa za utekelezaji wa kazi katika eneo lake kama zitakavyopokelewa kutoka kwa Watendaji wa Kata.
  • • Kusimamia utekelezaji wa Sheria ndogondogo za Halmashauri ya Wilaya, Miji, Manispaa au Jiji.
SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya juu katika mojawapo ya fani za Sheria,Menejimenti,Utawala,Sayansi ya Jamii, Kilimo, Mifugo,Ushirika, Mazingira, au Maji kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

MSHAHARA
Kwa kuzingatia viwango vya Serikali yaani ngazi ya Mshahara TGS D kwa mwezi.
NB: MASHARITI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE.
  • i. Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45
  • ii. Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa.
  • iii. Waombaji ambao tayari ni watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa waajiri wao na Waajiri wajiridhishe ipasavyo.
  • iv. Nafasi ya kazi inayoombwa iandikwe juu ya bahasha, kutozingatiwa hili kutasababisha maombi ya kazi kuwa batili.
  • v. Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
  • vi. Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, nakala za vyeti vya kidato cha nne na
  • kidato cha sita kwa wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu chuo au chuo
  • kikuu. Viambatanisho hivyo vibanwe sawa sawa kuondoa uwezekano wa kudondoka/kupotea.
-Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates.
-Cheti cha mtihani wa kidato cha IV na VI
-Cheti cha kuhitimu mafunzo ya kompyuta
-Vyeti vya kitaaluma (Professional certificates from respective boards)
-Picha moja “Passport size” ya hivi karibuni iandikwe jina kwa nyuma.
  • vii. “Testmonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati za matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
  • viii. Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wanakibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.
  • ix. Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika utumishi wa umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka Na CAC. 45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Noveba 2010.
  • x. Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
  • xi. WAAJIRI WOTE WALIOTAJWA HAPO JUU WANAOMBWA KUSAMBAZA MATANGAZO HAYA KWENYE MBAO ZA MATANGAZO NA MAENEO MENGINE (WILAYANI NA TARAFANI).
  • xii. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 14 Mei, 2013
  • xiii. Aidha, uwasilishaji wa barua kwa mkono katika ofisi za Sekretarieti ya ajira HAURUHUSIWI.
  • xiv. Kila mwombaji mwenye sifa aonyeshe katika barua yake mkoa anaopenda kufanyia kazi
HATA HIVYO UAMUZI WA MWISHO NI WA SEKRETARIETI YA AJIRA
xv. Maombi yanaweza kuandikwa kwa Lugha ya Kiswahili au Kiingereza na yatumwe kupitia posta kwa anuani ifuatayo.
Secretary AU Katibu
Public Service Recruitment Sekretarieti ya Ajira katika
Secretariat, Utumishi wa Umma
P. O. Box 63100 S. L. P 63100,
DAR ES SALAAM. DAR ES SALAAM.

Peruzzi na Mimi.

Jan 3, 2013

Neno la Mwisho la Sajuki

Mwigizaji Dinno alikua rafiki mkubwa sana wa Marehemu Sajuki na ndio alikua analala hospitali na Sajuki pale Muhimbili.

Ameongea Exclusive na AMPLIFAYA ya CLOUDS FM na kutoa maneno ya mwisho ambayo aliyasikia kutoka kwa Sajuki akimzungumzia mke wake ambae ni Wastara.

Kwa haraka haraka mwigizaji Wastara amesifiwa sana na watu mbalimbali kwa moyo wake wa ushujaa wa ukweli wa upendo kwa Sajuki japo walipitia matatizo makubwa na mengi kwenye maisha yao.

Masanja Mkandamizaji na Arnold Kayanda ni miongoni mwa mastaa wa Tanzania waliopaza sauti zao kupitia mitandao ya kijamii kumsifia Wastara kwa moyo wa upendo.

Tukirudi kwa Dinno, namkariri akisema “tulipokuwa Arusha sisi watatu tu Sajuki alionyesha ishara ya kukata tamaa, siku moja tulikua hotelini usiku kama saa tisa hivi Wastara alikuja kuniamsha kwenye chumba changu nikaenda kwa Sajuki, alikua anaumwa sana akamwambia Wastara naomba mpigie mama niongee nae, Sajuki akamwambia mama yake mzazi kwamba Wastara nampenda sana, kanizalia mtoto mzuri anaitwa Farhini, naomba msimsumbue naomba msimpe shida yoyote amenisaidia sana, naomba mumwachie Farhini amlee amtunze mtamuona, yalikua maneno mazito sana mpaka machozi yakawa yananitoka”

Kwenye mstari mwingine Dinno amesema jambo jingine ambalo Sajuki aliliongea mwishoni ni kuhusu upendo miongoni mwa wasanii wa movie Tanzania, namkariri akisema “alikua ananiambia hebu jitahidi kuwa unakaa na wasanii, unajua sisi hatupendani Dinno ila mimi iko siku nitakuja kuropoka nikae na watu niwazungumzie tuweke upendo pamoja, tukishapendana tutafanya kitu Dinno”

Peruzzi na Mimi.

Jan 2, 2013

Eight TV Characters Who Turned it Around in 2012

It happens to even the best shows on television. A character arrives and he or she is so blatantly obnoxious/useless/whiny/pretentious/uninteresting, that we deem them Lord of the Eyeroll, or less formally: the worst.

Luckily, the writers of each show have the power to reverse this unfortunate title with the power of their words and in 2012 eight very special and fortunate characters' fates were changed forever. And guess what? They're not so bad after all

http://www.youtube.com/watch?v=KyzUG2nyf5k&feature=player_embedded

“Where’s Carl?” That’s all this little tyke was good for in Season 2 of The Walking Dead. He finally got some decent screen time and it was all about him getting lost, taunting zombies, and being generally silent and creepy. This season, Carl is still creepy, but he’s holding his own. And in some cases, he’s doing the manly thing when many of the grown men in the survivor party won’t. Michonne’s about to be eaten alive by walkers and Rick’s still hesitating? Have no fear, Carl’s all over that – and with precise aim too. Now, if only we could make peace with how easy it was for him to shoot Lori in the face.

http://www.hollywood.com/news/TV_Character_Redemptions_Best_of_2012/45221477

Peruzzi na Mimi.

Ushauri kwa Wasanii wa Filamu (Wanafilamu) Tanzania

Ushauri kwa Wasanii wa Filamu (Wanafilamu) Tanzania

Kutokana na kutokea kwa kifo cha Msanii nguli wa Filamu Tanzania Juma Kilowoko almahalufu SAJUKI, 
Nina machache sana ya kuzungumza na Wasanii, Wadau na Waandaaji wa filamu Tanzania.
Sajuki ni msanii ambaye alikuwa na nia ya kufika mbali na kazi zake zote alizo cheza zilikuwa na mafundisho makubwa mno. Sajuki alikuwa na Mapenzi ya kweli nay a dhati kwa mkewe na wasanii wengine. Mimi namchukulia Sajuki kama mpiganaji, Muelimishaji na mcheshi. Namuombea Baraka tele Wastara kwa kuondokewa na kipenzi chake Sajuki.
Lakini katika mambo ninayo taka kuongea ni hili la kuzingatia sana Bima ya Afya (Medical Insurance), na Mifuko ya kijamii kwa Wasanii.
Jambo hili ni lamsingi sana kwa wasanii kulitolea Macho. Mimi nashangaa sana Eti kuna Raisi wa Shirikisho la filami Tanzania ambaye hana hata Baraza la Mawaziri wala Kamati Tendaji yenye kuleta Tija katika Tasnia hii ya Filamu Tanzania.
Ningewaona Wenye Busara sana kama kungekuwa na Mipango mikakati ya kila Mwaka katika kuhakikisha kuwa Wasanii ambao wako chini ya Raisi wao SIMON MWAKIFAMBA. wanapata vitu vile vya msingi ikiwemo na Medical Insurance, pamoja na kuhakikisha wanajiunga na mifuko ya kijamii, kama NSSF, LAPF, PSPF, na mingine mingi, ili kujiwekea akiba ya uzeeni au hata litokeapo janga au ugonjwa Kama ulio mkuta Ndugu yetu Sajuki.
Sitakikusema nilikuwa nashubiri litokee jambo au nichukulie msiba wa SAJUKI kama mfano lakini nachukulia kama Fundisho la Kila msanii na Huyo RAISI WA SHIRIKISHO ajaribu kufikiria mbinu za kuwanasua kwenye umasikini wa kimawazo Wasanii anao waongoza.
Wenzetu wana Medical Insurance na nilazima kwa msanii yeyote anayecheza Filamu ama Tamthilia kujiunga na BIMA YA AFYA, iko kwenye sheria ya nchi na hiyo walipropose wenyewe wasanii. Hiyo Moja, mbili Lazima msanii aweanalipa kodi ya kila kazi yake inapo ingia sokoni ili kulinda sells flow na mwisho apate kilicho hakiyake, kwa uhakiki wa mamlaka za mapato.
Mwisho napenda kuwapa pole Wasanii wote, nikiwepo na mimi, kwa msiba mkubwa sana kuondokewa na nduguyetu Sajuki Mpiganaji, ila Tuungane tupiganie haki zetu na Tukumbuke Afya zetu.
Mungu ailaze Roho ya marehemu Pema peponi amen.

With Regards
Silvanus C. Mumba
Volunteers Program Coordinator
0713073280/ 0752014077
KOICA Tanzania Office
Phone: 022 244 2324
Fax:     022 244 2297      

Peruzzi na Mimi.