Mar 19, 2012

The Living Dead iko mbioni kuingia Sokoni..

Filamu ya the Living Dead ambayo imetengenezwa nchini kongo na kushootiwa hapa Nchini Tanzania na DJ Awax akishirikiana na Safari Arts Group iko mbioni kuingina sokoni
Akiwaomba wapenzi wa Filamu zenye ubora wa kimaataifa kuwa wakae mkao wa kula na wasithubutu kuikosa filamu hiyo yenye mafundisho Burudani na maonyo ya aina yake yaliyo tafsiriwa kwa Lugha ya Picha.. Silvanus Mumba ni executive Produser wa Filamu hiyo anasema anafurahakubwa sana kuona filamu hiyo sasa imefikia hatua ya kuingia sokoni na anauhakika itafanya vizuri kutokana na umahili mkubwa saba ambao Director amefanya katika kuiandaa na kuishoot filamu hiyo

Silvanus

No comments: