Jan 25, 2012

R.I.P Prisca Lukas aka Fortunata

Kwa wale ambao walisoma Institute of Social Work Diploma in Human Resources Management 2007- 2009
Watamfahamu alikuwa mcheshi na mpenda Burudani na ALIKUWA ANAFANYA KAZI TANZANIA MUSIC MAYDAY.
Anaitwa Prisca Lukas aka Furtu kwa watu wengine walivyo zoea kumuita, ametutoka na Msiba upo kiwalani mjini Dar es Salaam mazishi yatafanyika Kesho katika Makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, 
Kwa yeyote atakaye guswa na Msia huo namba 0718601186 anaitwa kulwa dada yake mpigie atawaelekeza mahali msiba ulipo.. kwa taarifa zozote tutaendelea kuwasiliana.

No comments: