Mar 4, 2013

Matukiop ya Uchaguzi Nchini Kenya unamaoni gani?

Kadiri Matukio yanavyo enda huko Nchini Kenya kuna lakujifunza lolote ambalo Tanzania tunaweza sema Tumeelimika kwa kiasi kikubwa kutokana na Uchaguzi huo?

Je na hili kuhusu Vifo vya watu siku moja kabla ya uchaguzi unaliongeleaje?

Toa maoni yake hapa


Peruzzi na Mimi.

No comments: