May 30, 2011

FILAMU YA ZOMBI<>Mtu na Mdogowake kucheza Mke na Mume

Ni muigizaji Mahili na Chipukizi anayekuja kwa Kasi ya ajabu, Silvanus C. Mumba na Mdogo wake Nyemoritha Mabalwe, Wote ni watoto wa Mama mmoja, Wakicheza kama Mke na Mume kwa umahili mkubwa sana na Kuonesha jinsi Gani watu wanatakiwa kucheza filamu Seriouslly

Wakiongea kwa nyakati tofauti wao wenyewe wamesema walifurahi kupangwa pamoja ingawa Nyemo alitaka kukataa kwa kuwa anamuheshimu sana Kaka yake. Kilicho tokea ni Amri kutoka kwa Director wa Casts (Casting Director,, DJ Awax) na Kukubali kufanya hivyo.

Filamu hiyo iliyo Directiwa na Kutungwa na Silvanus Mumba, itakuja kuwakamata watanzania wote kwasababu imechezwa kwa umahili wa hali ya juu sana na waigizaji hao na utunzi wake si ule ulio zoeleka.

Wengi wameisifia akiwepo Mhadhili wa Chuo kikuu cha usafirishaji Ndugu Hoseah Mabalwe, Ponsian Claud (Project Coordinator /KOICA) na Wengine wengi.

Hii ni time ya Watanzania kusubiri kupata Heshima ya kimataifa kupitia filamu hiyo ambayo itasambazwa mapema mwezi wa saba.

No comments: