May 2, 2011

SALOME Bado kidogo kuingia sokoni

Nimewasiliana na Black and White Studio jana jioni kuhusiana na Filamu yangu ya SALOME ambayo mwanzo nilitaka kuiita Handsome lakini ilinibidi nibadilishe jina baada ya Watu wasio wabunifu kilichukua jina hilo na kulitumia kwenye filamu zao.

Kwa sasa editing ya filamu hiyo imekwisha kamlika na kilicho baki ni kufanya hatua za mwisho za kuisambaza kazi hiyo ili washabiki wa Filamu Tanzania mupate test tofauti ya Filamu, mafunzo na Intertainment ambavyo vyote vime contain kwenye filamu hiyo.

1 comment:

Mark said...

Safi sana kaka, waiting to get alot from you...!?