May 11, 2011

Makamuzi ya Filamu ya kizombi haya hapa.

 Tulipata ajali ya Gari so ikatubidi tutembee kwa miguu kuelekea home na kuliacha Gari likishughulikiwa na Fundi pamoja na Driver.


Buba Jini akiwa kwenye Motion (anaitwa Rossana kwenye filamu hii kali)
 Kibaka akiwa kwenye Motion ametokewa na Zombie Baada ya kukwapua mzigo wa watu.
Mr. Magali aka mzee Zafarani kama alivyotambulika kwenye hii filamu akiwa kwenye Motion.
 Tukilwa Location
Msanii Ritha akionesha kidonda Baada ya Motion yake kutokea alianguka chini kiualisia akaumia.
Zombie akiwa anafanyiwa makeup

Kijana Gachi akiwa amezimia Baada ya motiona yake kuisha ya kutokewa na Zombie

Mazombie wakiwa kwenye Pozi la Pamoja

 Mazombie wakiwa kwenye Motion
Mimi ndiye niliye andika Stiri hiyo na ndiye Director wa Movie hiyo

No comments: